KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
@kijitonyamalutheranchurch5903
Usharika wa KKKT Kijitonyama ni miongoni mwa sharika za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zilizopo katika Jimbo la Kaskazini Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ya KKKT. Usharika wa Kijitonyama ulianza kama mtaa wa Usharika wa Kinondoni mwaka 1981 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1985. Hivi sasa Usharika una Washarika takribani 5500 waliojiandikisha. Usharika huu kwa sasa unaongozwa na Mchungaji Kiongozi Dr. Eliona Kimaro akisaidiwa na Mchungaji Anna Kuyonga. Dira Yetu : Kuwa kiongozi katika kutangaza Injili ya takatifu ya Yesu Kristo kwa mataifa yote. Dhima Yetu : Kujitoa kikamilifu katika kueneza Injili Takatifu ya Yesu Kristo na kutumikia jamii kiroho na kimwili. Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako. LIPA KWA M-PESA 5510222 AIRTEL MONEY +255 682 683 333 TIGO PESA +255 679 112 500 M - PESA +255 756 445 544 +255 762 644 681 Pia unaweza kutuma sadaka kupitia: CRDB BANK 0111013720000 KKKT - KIJITITONYAMA
Format
Type
/api/banner/UCBS7cuOXoppuTEDltHGZ2WA?format=webpChannel Info
- Joined
- Mar 15, 2017
Download KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH's YouTube Banner
Use banner.yt to download KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH's YouTube banner, channel art, and profile picture in any format. Our API supports WebP (recommended for best compression), AVIF, JPEG, and PNG formats. Choose from preset sizes optimized for desktop, TV, tablet, and mobile, or specify custom dimensions.
Simply use the URL /api/banner/UCBS7cuOXoppuTEDltHGZ2WA to embed this banner anywhere — in websites, apps, Discord bots, or OBS overlays. No API key required.