Uwezo wa Mwanamke Ministry
@uwezowamwanamkeministry
Huduma ya UWEZO WA MWANAMKE ikiongozwa na Mbeba maono Mwalimu Betty Zanny inapatikana Tabata Segerea, Dar es salaam. Huduma hii inasimamia neno kutoka kitabu cha Tito 2:3-5 Ikiwa na Lengo na Kauli mbiu ya "KUMTIA MWANAMKE AKILI, ILI NENO LA KRISTO LISITUKANWE" Kwenye channel hii utapata mafundisho ya Neno la Mungu yatakayo kujenga wewe kama mwanamke kwenye ndoa yako, au binti kwenye nafasi uliyonayo. Mafundisho haya yanarekodiwa kutoka sehemu mbali mbali ambapo huduma hii ya Uwezo wa Mwanamke inafanya semina katika mikoa mbali mbali nchini Tanzania. MAWASILIANO; Tuma ujumbe wa kawaida au tuandikie message kupitia whatsapp endapo una ushuhuda au maombi kutokana na masomo tunayoendelea kufundisha kupitia channel hii. Namba ya simu ni +255 769 556 663 (VODACOM) #uwezowamwanamke #uwezo wa mwanamke #NenolaMungu #nguvuyamwanamke
Format
Type
/api/banner/UCEc23-J2F85aTGQmSwVtKiA?format=webpChannel Info
- Country
- TZ
- Joined
- Sep 3, 2015
- Keywords
- "UWEZOWAMWANAMKE""HUDUMAYAUWEZOWAMWANAMKE""UWEZOWA
Download Uwezo wa Mwanamke Ministry's YouTube Banner
Use banner.yt to download Uwezo wa Mwanamke Ministry's YouTube banner, channel art, and profile picture in any format. Our API supports WebP (recommended for best compression), AVIF, JPEG, and PNG formats. Choose from preset sizes optimized for desktop, TV, tablet, and mobile, or specify custom dimensions.
Simply use the URL /api/banner/UCEc23-J2F85aTGQmSwVtKiA to embed this banner anywhere — in websites, apps, Discord bots, or OBS overlays. No API key required.